Media-Sharing stories
Research and Data
PUBLIC PROFILE
Wajumbe wa mataifa ya Afrika wakongamana Mombasa kujadili masuala ya uchumi wa maziwa na bahari
Added by Patricia Lumba
2 years ago
Linked from: youtube
Wajumbe kutoka mataifa ya bara Afrika yanayohusiana na uchumi wa maziwa na bahari wamekongama huko Mombasa kujadili mbinu za kuhifadhi viumbe na mimea ya baharini. Kamati hiyo inayojumuisha wataalam kutoka mataifa husika inalenga kubuni mapendekezo ya kufanikisha uchumi huo ikiwemo uwepo wa lugha ya bara Afrika ili kusaidia kufikisha ujumbe kwa wanaoishi kando ya bahari.