Resilient African Feed & Fodder Systems (RAFFS) Project
Research and Data
PUBLIC PROFILE
Wizara Ya Kilimo Imetangaza Kuwa Nchi Inahitaji Ekari 2.2 Zaidi Za Chakula Cha Mifugo
Added by Patricia Lumba
12 months ago
Linked from: youtube
Wizara Ya Kilimo Imetangaza Kuwa Nchi Inahitaji Ekari 2.2 Zaidi Za Chakula Cha Mifugo Ili Kushughulikia Uhaba Wa Chakula Cha Mifugo.
Wizara Imesema Kuna Gharama Ya Juu Ya Malisho Ya Mifugo Nchini Ilhali Uzalishaji Wa Chini Na Mazao Duni Hali Inayosababisha Hasara Kubwa Baada Ya Mavuno Kwa Asilimia 40. Ili Kushughulikia Suala Hilo, Serikali Imeshirikiana Na African Union-Interafrican Bureau For Animal Resources Kushughulikia Hitaji Kubwa La Chakula Cha Mifugo.