Animal Welfare
Research and Data
PUBLIC PROFILE
Punda || Mnyama anayetoweka kwa kasi Afrika; Mkakati wa kumlinda wajadiliwa

Added by Patricia Lumba
3 days ago
Linked from: youtube
Nchi za Afrika zimeshuhudia kasi kubwa ya kupotea kwa punda huku Tanzania ikiwa na wanyama hao chini ya milioni moja.
Kama hilo halitoshi biashara ya kuuza nyama ya punda imeana kupigiwa chapuo ya kuuzwa kwa matumizi ya binadamu.
Je, nchi za Afrika zina mikakati gani ya kumlinda mnyama huyo?
Profesa Hezron Nonga anaeleza kwa ufupi kuhusu mkutano wa nchi za Afrika unaofanyika hapa nchini ili kuweka mikakati ya kuwalinda punda.